Long Description
Mwanzo wa Kiswahili ni kitabu cha mwanafunzi anayeanza kusoma na kuandika kiswahili. Kupitia kitabu hiki mwanafunzi ataweza kusoma vokali, silabi, tarakimu, hata kuhusu maumbo na pia mavzi. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha nyepesi na mpangilio sahihi wa maneno ili kieleweke kwa urahisi.